Recent content by anneyfr

  1. A

    Wosia wa mwisho kwa vijana wa Kitanzania

    Kuandama tutaandamana,hata asipokuwepo mbowe wala kiongozi yoyote tutaandamana maana kwanza watu kama akina mbowe wanatusaidia tu maana yeye ni tajiri anaweza kwenda kuishi popote na pia anaweza kuishi vizuri bila hata kuikosoa ccm.,lakini sisi masikini ndio hatutaki tena kuporwa haki yetu,kura...
  2. A

    Home tuition for physics and mathematics

    Mimi ni mwalimu mzoefu ambaye nimefundisha na bado ninafundisha katika shule kubwa kama Marian Boys secondary School,Feza boys secondary na Baobab secondary school,kwa sasa pia ninafundisha tuition kwa kumfuata mwanafunzi nyumbani mahali popote Dar es Salaam kwa maelewano ya gharama nafuu...
  3. A

    Home tuition for physics and mathematics

    Mimi ni mwalimu mzoefu ambaye nimefundisha na bado ninafundisha katika shule kubwa kama Marian Boys secondary School,Feza boys secondary na Baobab secondary school,kwa sasa pia ninafundisha tuition kwa kumfuata mwanafunzi nyumbani mahali popote Dar es Salaam kwa maelewano ya gharama nafuu...
  4. A

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Ninachokiona ni kwamba twaweza wameamua kupandikiza chuki kwa wananchi, Huu ni utafiti wa uongo na ambao umetengenezwa kwa lengo la kukibeba ccm Vitendo kama hivi NEC wanatakiwa kuvikemea maana hakuna utafiti kama huu, Nimechukizwa sana leo na nimeona ni kwa kiasi kikubwa wasomi wanavyonunuliwa...
  5. A

    Tender ya kuuza mboga za majani

    Ninatafuta tender katika hotel kubwa na restaurants, mboga za aina tofauti tofauti kulingana na mahitaji yako. Namba: 0785281001
  6. A

    Hivi Lowasa kamtaja Jk?

    sasa hilo swali au jibu?jk aliuza nchi tokea hapo tuko utumwani tunahitaji kukombolewa
  7. A

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Tuanzeni kuwapiga hawa maccm,wameshaona hii ni nchi yao peke yao..,kama kuna wafadhili wanaofadhili mabomu na siraha za moto nafikiri sasa ni muda muafaka wa kupata ufadhili huo,haiwezekani kila wakati wanatufanyia uhuni maccm,mimi nawelezeni kweli muda sio mrefu vita italipuka Tanzania./.
  8. A

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Ninafikiri sasa ni muda muafaka kwa vijana wenzangu kuamua kwa yanayoendelea katika nchi yetu. Binafsi nimeumia sana,kitendo alichofanyiwa WARIOBA ni cha kinyama na kisichokubalika kamwe,sasa ni muda muafaka wa kujibu mapigo maana wao ndio wameanzisha vita hii,kitendo cha kumdhalilisha kiongozi...
  9. A

    Physics form V & VI (home tuition)

    Pata elimu bora na ya uhakika kwa somo la physics kwa wanafunzi wa A-level (form V & VI), Naweza kukufikia zaidi kwa urahisi kwa wale wanaoishi Dar es Salaam maeneno ya Mwenge,Msasani,Mikocheni,Teget a na maeneo yote ya Bagamoyo road. Nitakufundisha/kumfundisha mwanao na kuhakikisha anapata...
  10. A

    Physics, Mathematics,Chemistry, Biology, English, Kiswahili Teachers Urgently needed

    St.Angelic Secondary School, Inahitaji walimu wa masomo tajwa hapo juu haraka kwa kuanza kazi. Tuma CV ikionyesha mahali ulipo kwa sasa na namba ya simu kwenye email ifuatayo Email: angelic.secondary@gmail.com *Mshahara mzuri,nyumba za walimu pia zipo.
Back
Top Bottom