Asha Madogo na Devita Minja ndio nani nchi hii kisiasa ???
Hayo majina mepesi sana kuliko ambayo CHADEMA imewahi kuwapoteza. Na ikabaki imara.
CHADEMA imepoteza Zitto , Kitila Mkumbo , Selasini, Mashinji, Msigwa, Mdee, Waitara, Wenje, Nassari, Juakali, na wengine kibao, na ikaendelea...