Recent content by Annerh

  1. A

    Mkuu wa Mkoa Dar, Jipime kuhusu Taka zilizorundikana Barabarani

    Hats huku mbeya mitaa ya ilomba mamajon ni shidaa
  2. A

    Ni nini Tafsiri ya HAPA KAZI TU?

    Hii kauli inanipa shida kidogo.Tutakuwa tunafanya sana kazi bila kujali malipo in kiasi gani.Na ukiuliza jibu hapa kazi tuu.Naomba ufafanuzi hapa.Kasi mpya nguvu mpya maisha bora kwa kila mtanzania ilituteka sana! Lakini yule jamaa alitudanganya kwamba ataongeza mishahara tulikuwa very attentive...
  3. A

    Je, Michango Shule za Sekondari iko Palepale?

    Safi mtoa hoja naona nidandie tu hapa.Yaaan kama mdau wa elimu hili suala litakugusa sana mchanganyiko flani hivi wakuu was shule Nazi wanayo January maana wazazi wameamini bure kwelikweli sasa suala LA ada tu linatoka wapi?yawezekana atatuma mihera kabla ya sh ule kufungua
  4. A

    Serikali kuondoa ajira za kudumu za umma, Juhudi na bidii ya mfanyakazi kazini kuamua hatma yake

    Daaa aiseee namuombea Huyu raisi avunje mikataba ili tulipwe stahiki zetu kama pension na mifuko mingine yaani sio mbaya jamaaani muacheni tu.Tusijenge hoja za kumzuia maaana mikataba mibovu hajaiona mpaka sasa ila sisi watumishii tuu.Na yeye ndio kaanza kazi tangu hapo kazi zilikuwa...
  5. A

    Life after divorce kwa wanawake

    Na kwa wanaume inakuwaje wakiachika
Back
Top Bottom