Recent content by Anko Sam

  1. Anko Sam

    Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

    Wabongo niambieni hivi mtu akitazama mpira kwenye Smart TV ya 8K na yule anayetazama kwenye Arboder mwisho wa mchezo magori yanatofautiana au mmoja hawezi kumjua iyefunga goli? Mi naona picha ni macho yako tu nunua TV kutokana na pochi yako.
  2. Anko Sam

    CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

    CCM inatumia uwoga na ujinga wa wananchi kuendelea kubaki madarakani. Kama wanataka waone sura halisi za Raia wafanye uchaguzi uwe huru na haki.
  3. Anko Sam

    CCM ya sasa ni Chama cha Wafanyabiashara

    CCM ina wenyewe ndivyo wasemavyo wengine wanatumika kuhalalisha nchi kufilisiwa.
  4. Anko Sam

    Toyota Camry 9th Generation (2025): Aisee Designer wa Toyota Aongezewe Mshahara!

    Wenzetu wako busy kuibadilisha magari yao kuondoa yenye mfumo wa combustion engine sisi serikali kuruhusu kila mkoa wawe na center ya kubadili kwenda kwenye CNG wanawaza ufisadi kwanza!
  5. Anko Sam

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Shilingi imeporomoka tena chini ya Daktari wa uchumi.
  6. Anko Sam

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Zamani walikuwa wanafanya kwa kujificha, awamu hii itakuwa kama enzi za Nkurunzinza tutauwawa kama mende-hawaogopi tena.
  7. Anko Sam

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Sasa hivi wanajitokeza hadharani wanajitapa😭
  8. Anko Sam

    PreGE2025 Peter Msigwa: Mbowe kunitaka nilipe Tsh bilioni 5 ni kuiua siasa na kushuka kisiasa kulikopitiliza

    Mchungaji Msigwa unatafuta huruma toka CCM au kwetu Raia, mbona kama umepanic. Kama majibu ulikuwa nayo kwanini unaongelea CDM wakati ulishahama? Eneza sera za CCM tu siyo mipasho.
  9. Anko Sam

    Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

    CCM ni sawa na Mama mwenye negative energy. Anauza mbuga na bandari kwa Mwarabu anatufukuza wazawa eti hatuli Tembo wala hatujawahi kupitisha shati Bandarini!
  10. Anko Sam

    Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

    Wale wanao watupa watoto vyooni au kuwachoma moto mikono kwa kudokolewa shillingi ya pipi?
  11. Anko Sam

    Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

    Huo ndiyo uchawi wenyewe. Kuwa na uwezo wa kutumia negative energy kuharibu afya na mafanikio ya mwingine ndo ulozi wenyewe.
  12. Anko Sam

    Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

    Kwani hakuna wamama wachawi, peleka huko uwana harakati wako mchawi ni mchawi tu hata kama ni mama!
  13. Anko Sam

    Njia zipi zitumike kukifuta chama "hewa" cha siasa?

    Msajili wa vyama Mh. Mutungi yuko makini sana hawezi kuruhusu chama kikaendesha SIASA pasipo kusajiliwa. Najua atajitokeza na hati ya usajili ya CCM ili amuumbue Tundu.
  14. Anko Sam

    Ujuzi wa chama cha mapinduzi {CCM} kwenye ukingo wa siasa

    Hizi dalili za viongozi wa chama tawala kuanza kujitokeza hadharani ni kujisifia mbinu chafu na za kihaini wanazozitumia kwenye uchaguzi ni dalili mbaya kabisa. Hayo maneno Dalili hizi ambazo vyombo vya ulinzi na usalama hazisemi kama zinatishia uvunjifu wa amani, mwisho wa siku zitalitumbukiza...
  15. Anko Sam

    Kuwa mwanachama hai wa CCM ni fursa ya kipekee sana kwa wewe mzalendo kutimiza wajibu wako kwa taifa lako na ndoto zako katika maisha yako

    Uzuri kupitia mpaka Nape wao na Wengine wanasema huwa wanashindwa kwa kura haramu. Utalewa lini?
Back
Top Bottom