Recent content by ANKO JEI

  1. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Ni kweli mkuu, nilikua naongea na mtu fulani nae alishangaa sana kwanini wanafanya hivyo, lakini ndo hivyo huwezi bishana, ni kurudi kusoma tu.
  2. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Asante kwa kunitia moyo, mwakani narudi undergraduate.
  3. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Thank you, based on the contributions of other members,the only option at hand, is to go back and get a new degree.
  4. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Ni kweli mkuu, ila niliona kusoma tena HR masters ni kama naongeza kazi kwenda sehemu nisiyopenda.
  5. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Shida tuliaminishana GPA kubwa haina msaada wowote, sikuona mbele tu, now ingenisaidia sana.
  6. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Asante kwa ushauri, sahivi nina early 30's i hope sijachelewa sana.
  7. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Ni kweli kabisa, kuna jamaa nadhani ni Dokta sahivi, kila iitwapo leo alikua anapambana kuandika andika machapiso.
  8. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Itabidi nianze mapema sana.
  9. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Mpaka hapa sina namna aisee, wacha nione mwakani naweza rudi undergraduate tena nikiwa na
  10. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Hakika mkuu hapa nimegonga mwamba.
  11. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Aisee kiukweli inaumiza sana. Kinachoniumiza ni kwamba wakati naenda undergraduate miaka hiyo, niliomba mass comm udsm, ila nikashawishiwa na familia nibadili, kwaio nikachaguliwa kozi nisiyoipenda nikaamua kupiga tu ilimradi tu nimalize, sikuweka juhudi kabisa. Anyway makosa yalikua yangu...
  12. ANKO JEI

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri. Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa. Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
Back
Top Bottom