Asante sana Mkuu kwa ufafanuzi huu na kunipa mwangaza katika hili. Kwaiyo nikienda kununua niwambie nataka core i3/core i5 ya 7th Generation sio watanielewa? Mwisho kabisa mfano nikienda kununua kwenye yale Maduka ya Used Laptop yaliyopo pale kariakoo Uhuru sio mbaya?
Habari za asubuhi The Great Thinker wa jukwaa hili adhimu la Teknolojia. Matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri katika suala zima la upambanaji.
Kilichonileta leo kwenye hili jukwaa ni mambo mawili, Mosi ni kuhitaji msaada wa kueleweshwa kuhusiana na Sony Home Theatre System na...
Ndio maana nikijaribu kucheza games kama Euro Truck inakuwa haina speed kiivyo, nimejaribu kucheki size ya Graphic Card nimeona ni 2GB na ushee hivi.
Sasa ndugu natakiwa nifanyaje ili niweze kufanyeje? Je, naweza kubadilisha hii Graphic Card nikaweka ambayo itakuwa compatible kwa ajili ya games?
Penye wengi daima pana mengi, nimekuwa mfuatiliaji wa mada zinazoendelea kwenye jukwaa hili la Teknolojia hasa ukizingatia kadri siku zinavyozidi kwenda basi na teknolojia nayo inazidi kushika hatamu.
Nisingependa kuwachosha Great Thinker wenzangu bali nimekuja kuomba kupatiwa ufafanuzi juu ya...
Wajuvi wa mambo ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea kulisongesha gurudumu la maisha. Binafsi namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa ni mzima na naendelea vizuri pamoja na familia yangu.
Penye wengi kuna mengi, nahitaji kufahamu kwamba kama naweza kufunga ving'amuzi viwili(2) yaani Startimes...
Hamjambo wakuu, bila kupoteza muda nahitaji kujua wapi nitapata duka linalouza hizi Staff Moka za kisasa nilizoambatanisha picha zake hapo chini.
Zingatie bei iwe nafuu na sio bei zile za Mlimani City, Mayfair, au Msasani mall.
Kama kuna mtu anauza kwa bei nafuu anifate INBOX sasa hivi. Budget...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.