Recent content by ankali

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba mbovu ya nchi imeanza kuwageukia wenyewe CCM?

    Mungu katupa huyu JPM Mr prsnt kikubwa tumuombee maana wanazidi kuisoma no nchi hii inahela nyingi sana ila majizi machache ndio yalikua yananufaika na kwa mwendo huu katiba ya Jaji Warioba itarudishwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Waziri Mkuu anaweza kumwamuru IGP kumkamata mtu?

    Jiulize kwa nn Makonda alimwamuru RPC wa kinondon akamate wale maafisa
  3. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    Tanesco na nyinyiem mwisho 20 october mzee wa maamuzi magumu akiingia madarakan
  4. A

    JamiiForums Tanzania Upende usipende Zitto Waziri mkuu awamu ijayo

    Labda waziri Mkuu wa Kigoma
  5. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

    Mpendwa na wanamabadiliko mpendwa na wana ccm Edward Ngoyai Lowasa ndio rais mpya wa tz
  6. A

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Hata kama angekua muislam angeenda msikitini angesema naomben kura zenu waislam wenzangu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

    Edward Ngoyai Lowasa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    Hajapunguza kitu bali mapinduzi yapo pale pale
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Hata wafanye nn mafuriko hayazuiliki
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

    Nape atatuambia tena kua kuna oil chafu au kapi limerudi nyumban
  11. A

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mpumbavu ni yeye,aliekua na wazir Mkuu wake miaka kumi leo kaondoka nani mpumbavu kama sio yule aliempendekeza miaka yote kumi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Wenzio wameanza kukusanya kila kilicho chao maana safar imewadia kwaheri ccm na mambo yenu yote.Mlisema tutaisoma namba ila nyie ndio mmeisoma namba
  13. A

    JamiiForums Tanzania Askari shupavu akifa, mapambano hayakomi

    Mapambano yanaendelea
  14. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Juzi kamkumbatia Lowasa leo anajiuzuru yote ni uroho Wa madaraka ila titafika tu babu nae aamue haraka ili tujipange upya
  15. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutangazwa Jumanne kuwa mgombea Urais

    Hayawi hayawi sasa yamekua ni kuvua gamba na kuvaa gwanda
Back
Top Bottom