Nchi itawaliwe kijeshi kwa muda. Kisha tuanze upya kwa kuandaa taratibu mpya/katiba. Hawa watawala wa sasa hawawezi kuachia nchi kidemokrasia, na hata demokrasia sasa hawaitaki wapo kutawala wao na uzao wao kulinda maslahi yao. Watatufarakanisha kidini, kikabila na kikanda. Mwisho itakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.