Recent content by Angelina Masengwa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la ku-appeal mkopo heslb.

    Ni kweli wapendwa huku UDOM tumeshahangaika sana kwa atakae pata ufumbuzi atufahamishe.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Loan Board 2015/2016 appeals iko open now

    Msaada tafadhali kwa aliye fanikiwa kudown load form ya appeal amefanyaje?maana tangu juzi tunaambiwa incomplete information, muda wenyewe wametoa mfupi mno mbona utaisha na form hatujatoa!
  3. A

    JamiiForums Tanzania HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

    Mi juzi nimesikia taarifa ya habari ikisema wanafunzi woote walioomba Mkopo 2015/16 wamepewa pasipo kuangalia kozi zao,nikastuka kidogo watu tunaumia huku bila Mkopo na kozi uliyochaguliwa ni priority. INAUMIZA SANA
  4. A

    JamiiForums Tanzania Higher Learning Students Supporting Fund ni mali ya nani?

    Naomba kufahamu utaratibu wa chombo hiki maana mwaka huu hali ni ngumu kwa sie watoto wa masikini
  5. A

    JamiiForums Tanzania You have not secured a loan!

    Hiki kilio cha wengi,tumekata tamaa, mid ?imepata BSc in biology lakini mkopo no,ndoto zimekufa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

    Mi sina nguvu,ndoto zimefifia.
Back
Top Bottom