Recent content by Angelica Best

  1. A

    Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

    Tatizo siyo Rais ni kutoelimika kwa wananchi wengi Tanzania. Tuombe wananchi waendelee kuelimika.
  2. A

    Ushahidi wa Serikali kuingilia Mahakama: Jaji athibitisha jinsi viongozi wa Serikali wanavyoingilia hukumu kuwaumiza upinzani nchini

    This is a serious allegation. Can the judges please defend themselves ??:-) :-) :)
  3. A

    CHADEMA: Kabla ya Mwaka 2015 Rais Kikwete anasafiri sana, baada ya mwaka 2015 kwanini Rais Magufuli hasafiri nje ya nchi?

    Why Chadema all the time kati ya vyama zaidi ya vitano vikubwa? Mbowe! Mbowe! Mbowe! Mbowe! Wakati viongozi wa vyama mbali mbali vy siasa including Nyerere walikaa madarakani miaka mingi wakijenga vyama including CCM. CCM bila Nyerere kukaa nayo kwa.zaidi ya miaka 20 ingekuwa imekufa leo. So...
  4. A

    CHADEMA: Kabla ya Mwaka 2015 Rais Kikwete anasafiri sana, baada ya mwaka 2015 kwanini Rais Magufuli hasafiri nje ya nchi?

    Huna hoja. Unalalamika tu ili kujustify kuwa kinachoendelea ni sawa. Ulijadiliana na nani mpaka useme kuwa " tunayemtaka sisi ni huyu ama yule"
  5. A

    Rais Magufuli akutana na viongozi wa chama tawala cha China Ikulu

    Mchina tangu lini kawa ndugu! Afadhali ya mabeberu wanakupa za usoni kuliko hawa ambao wanakudumaza kimya kimya!!
  6. A

    NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

    Dr. Slaa ni mtu mzuri aliyeshaushiwa na shetani kama ilivyokuwa kwa Adamu na Hawa! Tumsamehe tu bali kitabu chake msikisome kwani kina uwongo mwingi wa kisisiem! Tangu aingie huko anachokisema hakieleweki tena! Mwacheni babu huyo!
  7. A

    Askofu Steven Munga: Tulia Ackson ameizika CHADEMA mazishi ya Kikristo

    Wewe unayemtukana Askofu be careful! Usidhani Askofu ni mwenxako!
  8. A

    Askofu Steven Munga: Tulia Ackson ameizika CHADEMA mazishi ya Kikristo

    Tanzania tunatumia ushirikina katika siasa???
  9. A

    Uchaguzi wa mitaa ni utapeli mtupu

    Awamu ya tano hailutangaza sheria ya kutowatangaza wapinzani walioshinda!
  10. A

    Slaa anaamini katika nini? Kipenzi mbeba maono, msaliti wa umma au maslahi binafsi?

    Nadhani alitoa message kwa watawala wake pia aliposema kuwa tourists 100 walivunja safari in protest ya human rights abuses kwa kusikia watu au mtu akilalamika. That was a strong message to our leaders!
  11. A

    Tundu Lissu anayo fursa ya kuliomba Taifa msamaha!

    Baba wa taifa hakuwa Mungu. Alikuwa binadamu! Yeye mwenyewe alikiri kuwa alifanya makosa mengi. Kila mtu anaweza kukosolewa. Baba wa taifa tutamsifu mpaka kesho kwa wema asili mia 99% aliotufanyia, hakuwa mwizi, alipenda amani, alitenda kazi kubwa wakati kulikuwa na ujinga nwingi, maradhi mengi...
Back
Top Bottom