Recent content by AngelB

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta anayeuza soya ya chakula cha kuku jumla

    Karibu nikuunganishe na wauzaji wa chakula cha kuku kuanzia siku 0 hadi kuuza 0625259157
  2. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Gharama ya mwezi unatakiwa Kuanza kulipa kila mwezi hiyo ni constant,,,(labda uamue kulipia Deni lako lote kwa pamoja Ni ruksa pia). Mizinga 10 kwa kawaida kwa sababu kwenye mashamba haya Kuna wataalamu kazi yao Ni kuhakikisha nyuki wanaingia kwa muda mfupi kwa kutumia njia za asili ama njia ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bee Venom: Zao la Sumu ya Nyuki na uvunaji wake

    Wapigie Tanzania International Bee 0744344488
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Kilimo cha nyuki kinaweza kukutoa kimaisha?

    FUNYUKI Ni ufupisho wa neno FUga NYUki KIbiashara, mradi huu unaotekelezwa na kampuni ya TANZANIA INTERNATIONAL BEE yenye makao yake Dar es salaam ni mradi mkubwa wenye subtitle ya "The beekeeping hub of Africa" Mradi una malengo makuu mawili: 1. Beekeeping transformation from local/primitive...
  5. A

  6. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Chavua ni moja ya zao la nyuki (pollens) ambayo nyuki hutoa kwenye maua kwa ajli ya kuipeleka ndani ya mzinga ili kutengeneza chakula chao
  7. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Thank you[emoji120]
  8. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Kwenda ni kesho tunakutana asubuhi saa mbili nanusu uwe umefika mwenge mataa. Lakini piga 0762936519 ili kujiandikisha majina yako namba za simu na mahali unapotokea.
  9. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Langstroth ina 10 frame ni 150,000/=. Ndiyo kwenda site unachangia shilingi elfu 10 ya nauli kwenda na kurudi lakini kama unausafiri wako hautochangia chochote.
  10. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Mradi upo Bagamoyo Kiwangwa lakini ofisi zetu zipo Sinza Makaburi nyuma ya jengo la PSSSF COMPLEX
  11. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Ahsante sana. Karibu sana
  12. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Unatakiwa kufanya bating kwa kutumia nta ambayo itawavutia nyuki kuingia.
  13. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    1. Tanzania Top Bar Hives 2. Langstroth
  14. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Ndiyo ndiyo.
  15. A

    JamiiForums Tanzania FUNYUKI (Fuga Nyuki Kibiashara)

    Samahani kwa kuchelewa kukujibu. Mafunzo ni wiki 3 na gharama ni laki moja. Kwa maelezo zaidi tupigie simu 0744344488 na 0762936519 au fika ofisini kwetu.
Back
Top Bottom