Recent content by Angelaone

  1. Angelaone

    Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Habari nilizopata hivi punde Musiba kapata ajali mbaya ya gari na kavunjika mikono yote miwili, na mdomo wote umekaa kushoto.
  2. Angelaone

    Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Yamebaki masaa 23 Musiba piga magoti, utagongwa na nyoka usijue katokea wapi
  3. Angelaone

    Polepole unakiharibu chama. Mwenyekiti wa Kijiji akana kuhamia CCM asema alilazimishwa

    Jamanii, hivi ili Jiwe mbona linatuambia nchi yetuu, tulipinge Pamoja na wapambe wake wakina Cha kubanga!!! Dude linapenda linapenda kusifiwa tuu jamii, Mungu tumekosa nini
  4. Angelaone

    Lissu tusamehe, tumekosa sisi, tumekosa sana

    Nimebaini, nyie mnaokomenti hivi ni watoto kula kulala, haiwezekani mtu mwenye akili timamu kuandika ujinga Kama huu.
  5. Angelaone

    Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

    Mh!! Mbona watu hamna akili namna hii, Jiwe Kawatuma
  6. Angelaone

    Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

    Jiwe au kichaa atakuwa mtuhumiwa namba one, hahaha mi simo
  7. Angelaone

    Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

    Nyie watu mnataka mmpige na risasi dereva!! Mshindwe
  8. Angelaone

    Mungu ametupa zawadi leo kwa Mbunge Tundu Lissu kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist

    Pona Lissu watanzania tunakuamini,tunakuhitaji, urais utapata kama ukipata ridhaa ya chama chako
  9. Angelaone

    Mungu ametupa zawadi leo kwa Mbunge Tundu Lissu kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa Physiotherapist

    Mungu wa mbiguni mjalie afya kamanda wetu, huyu shetani aliyefanya hivi mlaani maisha yake yote. Binadamu wa roho mbaya sana kisa kukosolewa tu
  10. Angelaone

    Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Na huyu dalali katumia kiswahili kibovu sana jamoni, Mungu wangu alimaliza shule kweli huyu sijui Rick lose
  11. Angelaone

    Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Inaonekana wewe mwenyeji huko kaka, sasa kama wanafanya biashara ya kujenga na kuuza kwanini wasijenge vizuri jamoni
Back
Top Bottom