Nadiriki kusema ndoa tu ndo shule ngumu sana kufaulu,na ndo maana unapewa cheti chake kwanza halafu mitihani yake unaikabili baadae lasivyo ingeanza mitihani wengi wangetoroka shule na wachache wangefaulu kupata vyeti
heheh chezea ndoa wewe uwi
wapi #gwijimimi ,#kerucee ,#lara1 ,#utafiti...