Recent content by angel_niyele

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania International University chafungwa rasmi

    Samahani thread imerudishwa maana mhusika aliibadilisha haraka ili watanzania wasiitafakari vizuri naona.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania International University chafungwa rasmi

    Jamani mjihadhari sana VC wa chuo hicho cha TIU anayejiita "Dr" Mnzava ni tapeli hata DECI alikuwemo. Wafanyakazi wote alioanza nao wamemkimbia baada yakumvumilia muda mrefu toka March 2013 baada ya kugundua kuwa wanafunzi wanalipaada naye anazitumia ovyo kwa mambo yake binafsi bila kujali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania International University chafungwa rasmi

    Chuo hicho kinachoongozwa na jamaa ajiitaye "Dr" Samwel Mnzava ni tapeli aliyepindukia. Kipo Kimara Mwisho ukielekea barabara ya Bonyokwa. 1. Anatumia lugha nzuri kuwavutia watu kujiunga na chuo chake wakishafika anachukua ada zao na kuzibinafsisha. Kuwalipa walimu kwake mwiko. Mwezi ukiisha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kisa ni cha kweli sio hadithi pitia

    Je ukikuta mchaga naye kachepuka na ana mtoto vipi hapo?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania International University chafungwa rasmi

    Jamani wana jamii jihadhalini. Hiki chuo cha Kimara wmisho kinajitagaza kwa nguvu zote ili kuwashawishi watu kujiunga ila ukweli ni kwamba anayekiendesha chuo hicho akijiita "Dr" Samweli Mathias Mnzava ni tapeli wa kutupa kwa wanaomfahamu vizuri hata DECI alikuwemo ila kiujanja alichomoka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Maiti iliyozikwa miaka 700 iliyopita yagunduliwa China ikiwa haijaoza

    Enzi hizo walikuwa juu kweli.
Back
Top Bottom