Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni binti miaka 25 muhitimu wa chuo ngazi ya diploma ila sijaajiriwa na nimemaliza chuo tokea mwaka juzi.
Nakuja mbele zenu nikiomba ushauri juu ya wazo la kufanya usafi yaani natafuta watu nawaajiri wanakuwa wanakusanya uchafu katika kila kaya ambapo kwa...
Habali zenu wapendwa na poleni na majukumu.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24 ninayeishi Mwanza. Nina diploma ya fisheries science and technology. Naomba msaada wa kazi mahali popote pale kama TBS, TFDA na viwandani upande wa kudhibiti ubora wa bidhaa.
Nina uwezo wa kufanya analysis ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.