Recent content by Aneno

  1. A

    Daraja la Kigamboni lilipofikia katika Ujenzi - Sasa inawezekana kutembea kwa miguu

    hilo ni daraja la muda kwa ajili ya kuputishia mitambo na vifaa vya ujenzi kwa ajili ya daraja lenyewe kubwa.
  2. A

    Mazishi ya Kulola kufanyika Jumatano wiki ijayo

    Tuungane kumuomba MOLA ailaze Roho ya Baba Askofu Mosses Kulola, mahali pema PEPONI, Amin,
  3. A

    UJENZI na shilingi 252 bilioni

    Kwa fungu lenye kiasi kikubwa kama hicho cha Shs. 252 bilioni kwamba limepitishwa na Bunge makini bila ya kujua miradi husika iliyomo ndani ya fungu hilo ni jambo la kujiuliza.
  4. A

    Wizara ya Magufuli yamjibu Zitto Kabwe

    Please be serious. Je unataka Kichaga sasa kitangazwe kuwa lugha rasmi ya Chadema. Je majina mengine kama lile la ukoo maarufu wa M..ro utalipeleka wapi.
Back
Top Bottom