Yule jamaa aliyewahi kupigwa Kwa "manati" ya wazungu pale dodomya akapelekwa Kwa wazungu kutibiwa ndo karud juzi juzi baada ya hayati CEO kufa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nashangaa uliwezaje kuulizwa ujinga na ww unajbu !! Eti siku nikiingiliwa nitajiskiaje? Na kama nitaendelea kuingiliwa? Na kama nataka kuingiliwa au kuingilia? Nakuapia SKU iyo iyo nngeenda segerea maana nngempiga ngum moja inaitwa cut out...ambayo ukipgwa unazmia masaa 72 unapumua Kwa mbali sana
Mwakiembe ni mwanasheria mbobezi ,anajua anachokfanya,na hawez kuongea bila kua na ushahid mzur na ulio jitosheleza ,labda ww ulio jawa na hofu na mashaka Ila hawana pa kumpeleka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mmmmh Kwan c tulimbiwa na hadithi ya kitugwa? Kwan hadith inakua na ukwel? Si uongo Tu ilmradi ukolee???
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.