Mdogo mdogo kocha anaanza kubadilika, Angalau ameanza kupanga kikosi kinachoeleweka, lkn pia anawapa nafasi na wengine kucheza ktk gemu ambazo zinaonekana hazina changamoto kubwa.
Kwani ni nani alokuambia kwamba wachezaji waliosajiliwa wote wanacheza namba moja (winga) sema tu kocha ana mahaba niue na wachezaji anaowataka yeye, wachezaji wote 5 waliosajilwa mara hii wanaweza kuwemo uwanjani kwa wakati mmoja kwasababu uwezo wao hauna shaka, lakini kutegemea uifunge...
Hahaha, watanzania tuna burudan sie, yaani mtu anatoa mifano utadhan kwamba timu za tanzania bara zimeshafikia kiwango cha timu za ulaya, wakati hakuna kikombe chochote cha kimataifa kilichowahi kuchukuliwa na timu zetu pamoja na National team. Ninachojua mm Tanzania ipo katika kundi...
Wachezaji wote waliosajiliwa kwa fedha chungu nzima ndio kweli hawana uwezo wa kuwaweka bench kibu, Saido na John boko. Kocha hatufai anashindwa kuzitumia resources tulizonazo
Kama ni kweli basi jeshi la polisi wamefanya jambo jema kwa usalama wake, haiwezekani mtu akautumia vibaya umaarufu wake kueneza propaganda na chuki dhidi ya serikali na kile asichokiamini yeye.
Ndio naona, asijeenda kupandikiza chuki tu, ninachoona mm viongoz wa hiyo dini ya faiza fox hawatoweza kuhudhuria mjadala huo wakijua fika kwamba alieandaa huo mjadala ni muumin mkubwa wa kile kitab cha Alif lelaUlela. Hivyo najiuliza anaenda kuwahubiria nani, au kueneza chuki tu kwa wasomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.