Recent content by andrewk

 1. andrewk

  Uingereza yaitaka Tanzania kupinga kitendo cha Urusi kutumia kemikali za sumu

  Kwenye mahusiano ya kimataifa kila MTU ana Uhuru wake
 2. andrewk

  The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.

  Nadhani tuna tatizo mahali, iko master plan ya railway ya east Africa sijui kama bado iko kwenye mipango ya utekelezaji
 3. andrewk

  Hatma ya Jerusalem: Tanzania yapingana na Trump UN

  Kwanini tuwe neutral! Nchi INA maamuzi yake, tena nadhani Trump aliharibu zaidi alipotishia kuzinyima misaada
 4. andrewk

  Hatma ya Jerusalem: Tanzania yapingana na Trump UN

  Tanzania ni nchi INA maamuzi yake
 5. andrewk

  Mgogoro wa TTCL na Bharti Airtel: Airtel yauza Minara 1,350 kinyemela

  Multinational companies huwa ni shida kama hamjipangi vyema ndani
 6. andrewk

  Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

  Hapo ndipo nchi inapochafuliwa, na hao wafanya biashara wanatumia connection zao hadi ndani ya nyumba
 7. andrewk

  Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

  Waziri mkuu alizungumzia pia ujanja wa kulipa 30% kwa mnunuzi na kisha kuingia mitini, hilo wamelizungimzia?
 8. andrewk

  Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

  Wengini ni huku mabarabani, ukikuta mwenzako anatatizo simama japo kumsikiliza tu.....
 9. andrewk

  Basi gani zikitoka Mwanza zinafika Dar bila kulala Morogoro?

  Fastjet, atcl na precision, kwa mabasi hakuna na 50! Zilizopo
 10. andrewk

  Video fupi ikionesha kiwanda kinavyotengeneza hela Uswiss

  Mkuu swala LA kutengeneza hela sio kila nchi inafanya kivyake, suala LA security kwenye noti ni kitu muhinu sana..... Historically hao jamaa wa uswis wamekuwa wakifanya kazi hiyo muda mrefu sana na ndio maana sehemu kubwa ya uchumi wao hugegemea vitu kama hivyo na utengenezaji wa saa
 11. andrewk

  Ajali Morogoro: Magari mawili yagongana uso kwa uso na kupelekea vifo vya watu wanne

  Nimepna hayo magari, nadhani wa fuso alila akamfuata mwenzake, in kwenye mteremko karibu na kona ya mzumbe
 12. andrewk

  TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

  Pole sana ndugu na jamaa wa karibi na watanzania walijuwa wanamfahamu
Top Bottom