Recent content by Andrew Nyerere

  1. Andrew Nyerere

    Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    whose ruthless tactics against their enemies when they are threatened are legendary- and extends to the families of those seeking to do them harm that they have no problem at all in killing.
  2. Andrew Nyerere

    Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    The importance of noting the now private ultra- elite Russia special forces troops protecting President-elect Trump and his family, is that many of them were trained by the Committee for State Security (KGB)
  3. Andrew Nyerere

    Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    President-elect Trump is brutally fighting against these "Deep State" CIA- led forces trying to destroy him- who has surrounded himself with one of the most feared private mercenary forces ever known that includes at least 370 ultra- elite Russian military trained special forces. (It gets better)
  4. Andrew Nyerere

    Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    Siyo mtabiri. Vitisho zaidi ya 1000 twitter na Facebook watu wanamtishia maisha.
  5. Andrew Nyerere

    Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    Zipo 10 private security agencies zimeajiriwa kumlinda Trump.
  6. Andrew Nyerere

    Donald Trump kusema hataki kulindwa na CIA ni sawa na Magufuli kukataa kulindwa na TISS

    Donald Trump atakapoapishwa,akishusha tu mkono walinzi wote wa Ikulu wataachishwa kazi ya kumlinda. Donald Trump anakuja na walinzi wake,among them 1000 Russians or russian- trained private security agents. Kwa mini rais wa Marekani alindwe na Warusi nashindwa kuelewa.. Wakati wa ile kampeni...
  7. Andrew Nyerere

    Maajabu: Ndege ya Malaysia yakosekana kabisa baada ya kutafutwa Kwa Miaka 3

    Na like bawa lililopatikana Unguja na kingine Msumbiji. Ile ndege tumesema imechukuliwa na UFO watu wanasema wamepata bawa Unguja. Wamepata bawa vipi?
  8. Andrew Nyerere

    Zitto amkosoe Rais kama kakosea na siyo alete 'no cofidence motion'

    Ndio matatizo ya maneno ya vitisho. Rais akiwa pale katika jukwaa akisema watu fulani siku zao zinahesabika, haongei na wewe. Anatoa maagizo kwa vyombo vya usalama.
  9. Andrew Nyerere

    Zitto amkosoe Rais kama kakosea na siyo alete 'no cofidence motion'

    Na yule mtu alieandika posting kusema Zitto siku zake zinahesabika,aondoe neno" rais" katika posting zake.. Hii haina maana. Mbunge gani anaongea na kuondoa neno " rais" katika msamiati wake?
  10. Andrew Nyerere

    Zitto amkosoe Rais kama kakosea na siyo alete 'no cofidence motion'

    Kikwete alionyesha imani zaidi kukabiliana na ukame. Butiku alikuwa anasema " Kikwete atashinda tu. Huu ukame is just a bump on the road"
  11. Andrew Nyerere

    Zitto amkosoe Rais kama kakosea na siyo alete 'no cofidence motion'

    Isiwe bora tu kupeleka hoja Bungeni. Lazima uwe ma matumaini ya kushinda.
  12. Andrew Nyerere

    Zitto amkosoe Rais kama kakosea na siyo alete 'no cofidence motion'

    Maneno anayosema Zitto kwamba anataka kupeleka Bungeni mswada binafsi hoja ya kutokuwa na imani na rais;Zitto anakuwa mtu ambaye he had gone too far. Hata utawala wa Kikwete ulianza na ukame na njaa.
  13. Andrew Nyerere

    Wapinzani hakuna atakayewaruhusu mgawe vyakula kwa wananchi; mnajisumbua bure tu!

    Chakula unaweza kumpa yoyote, hata ambaye hana njaa. Watu wangapi tunaona wanajazwa hela kila kukicha ingawa hawana shida yoyote?
  14. Andrew Nyerere

    Wapinzani hakuna atakayewaruhusu mgawe vyakula kwa wananchi; mnajisumbua bure tu!

    Ukienda mtaani ukiwapa watu hela, nani atakuzuia? Lowassa na Mbowe wakiamua kukupa hela utakubali mtu ajitokeze aserme yeye ni baba yako na kwamba hajaruhusu?
Back
Top Bottom