hata ww ukiwa na mafanikio lazima ujenge kwenu,usipojenga utakuwa kilaza mkubwa.tatizo lenu wapinzani sasa mmeishiwa sela hacha muisome number tuuuh ila JPM muache ahijenge na kuinyosha nchi kwa sasa.
mabinti wengi wa kizazi hiki hawajui mfumo wao wa hezi unavyoenda ndio maana wanakuwa wepesi kuwaambia wapenzi wao ili wajuwe kama wapo kipindi cha hezi.swala hili linasaidia sana kwa wanaume kutambua siku za hatari na salama ili kuepusha mimba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.