habari wana JF.
ni matumaini yangu wote tu wazima wa afya,ni jambo la kumshukuru mungu,,
naomba kuuliza tofauti iliyopo kati ya dalili za ugonjwa wa kifua kikuu na ugonjwa wa Ukimwi,,,yaani dalili za awali mara tu baada ya mgonjwa kuambulizwa ugonjwa
samahani wapendwa ,kuna kijana nimemwachia pc kwa muda nikasahau kulog out,kaingia na kufanya utundu wake,,,samahani don't concentrate on what is written here,,,,
hahahah wapendwa hamuuziki?sio kila anaeandika huwa anajua anachofanya,,by the wayhaya ni maisha ya mtu na kila mtu ana lake jambo kwenye mtandao,,basi fanya jambo ambalo roho yako yapenda ufanye
jamani mungu atusaidie tumedumu kwa amani muda mrefu Tanzania lakini kwa sasa nchi inakoelekea ni kubaya hebu tufikirie kizazi kijacho mambo yatakuaje kama kwa sasa hali ni hii,,kweli kuna uhaja wa mtu kufariki ati kisa mabishano ya kuchinja vitoweo?tusitake kuibomoa nchi yetu kwa mambo ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.