Recent content by Andika

  1. A

    Watu wasiojulikana wameiba sanduku lenye chatu na kulitelekeza

    Ingekuwa vizuri huyo chatu akawameza hao wezi ndio wangekoma
  2. A

    Diamond Anamvisha Mpenzi wake Mpya Najma Pete ya Uchumba....

    Mbona atawavisha wengi tu na bado. December ikifika atamvalishe mwingine
  3. A

    Msanii wa taarab wa kundi la TOT plus, Mariam Khamis maarufu kama paka mapepe amefariki dunia

    Kwa kweli nimesikitika sana nilivyopata habari za msiba wa binti huyu. Kazi ya Mungu haina makosa. Mbele yake nyuma yetu.M ungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina
  4. A

    Picha: Sheikh fadhil soraga wa zanzibar amwagiwa tindikali na watu wasiojulikana

    Pole sana sheikh Mungu awe pamoja nawe. Inshallah atakupa wepesi na uweze kupona haraka.
  5. A

    Hongereni CCM kwa kutuchagulia Ramadhan Madabida baada ya kuua ndugu zetu na ARV feki!

    Malyenge hapo tayari ni kunyongwa unapopewa dawa feki si ina maana ni mauaji hayo? Kwa hiyo hakuna cha mfumo hapo wowote ule ni kuuana tu kwenda mbele
  6. A

    Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

    Hilo litakua ni filamu anaigiza mbona mume haonekani wala hakuna watu wanaomzunguuka hata huyo shehe anaeozesha hayopo inakuaje?
Back
Top Bottom