Recent content by Anderson Shimb

  1. A

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Chadema imeonesha kushinda Kata 8 kati ya 10, kuongoza huku wafuatiliaji wa mambo ya siasa wamegundua yafuatayo; 1.Chadema kutumia vitisho kwa wapiga kura wa ccm 2. Chadema kuwakata mapanga viongozi wa chama Tawala ili kuwatisha wapenzi wa chama hicho 3.Kuwazuia wapiga kura kupitia...
  2. A

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Kadamnasi ya watu waliohudhuria leo Mbeya kwenye maadhimisho ha miaka 37 ya ccm ni ishara tosha kuwa chama hiki ni chama cha Watu ni chama cha Watanzania na kwamba ndicho wanachokitegemea. SACCOS Mbona haifanyi madhimisho yake tukaona? Aaaa nilikuwa nimesahau, yenyewe huanadhimisho kwa helcopta...
  3. A

    Rais Kikwete aguswa na utendaji wa Kinana na pia azungumzia swala la Mawaziri 'mizigo'

    wewe Nicholas kwanini unakosa hekima? Hutuba ya Rais inaeleweka vizuri sana tena inaujumbe usio na itikadi, wewe hayo unahochangia yanagoka wapi? Au tayari nradi wa viroba umeanza?
  4. A

    Nitarudisha kadi ya CHADEMA haraka sana...

    Ndg yangu nakupa pole, ulikosea njia kwabahati mbaya, njua muda wa miaka 14 jasho lako limetafunwa na akina Mbowe, Slaa, Lisu; Mnyika, Wenje,Lema Shoga. pole sana. Wapotezee kuanzia sasa.
  5. A

    Maadhimisho ya CCM Mbeya yafana kupita kipimo

    Leo hapa Mbeya shamra shamra zilikuwa kibao hadi kila mwananchi aliamini pasipo shaka kwamba CCM haina Mpinzani. Na wanaopinga ni wale ambao hawana hoja zenye mashiko mbali na kutukana, kukashfu, kulaumu, kukosoa kila kilicho chema kwa ubaya, utawasikia wakisema au kupost eti nyie buku7, mara...
  6. A

    Vita kati ya Malecela na Lowassa ni ya muda mrefu. Hii hapa ndiyo siri ya utajiri wa Lowassa

    Kutunga uongo hujahitimu vizuri Bwana Mdogo, mtu yeyote mwenye akili iliyotulia akisoma simulizi yako, mara moja anakupuuza na kukuponda na kukuona wewe ni kenge fulani hivi. Kama Maclecela alipiga simu japan, Je kulikuwa na ugumu gani wa Wajapan kupiga simu kabla ya kuleta mzigo Tanzania? Je...
  7. A

    Kwanini Mbowe anarithi tabia za Lema za kupenda kupambana na polisi?

    Watu wengine kwa kuiga maneno, Tangu mwalimu Nyerere aongelee juu neno laana, na wewe ukalibaka na sasa kila ukichangia kidogo laana, ukilala laana, ukiamka laana. mtu mzima ovyooo.
  8. A

    Kwanini Mbowe anarithi tabia za Lema za kupenda kupambana na polisi?

    Ndugu yangu, hebu tueleze, Nyerere aliwahi kurusha helcopta 3 lini na kutumia Mil. 900 na ushe za walipa kodi? Nyerere ni wapi aliwahi kutamka kuwa yeye ni kamanda na kuwa anataka kuzichapa ila anawaachia makamanda wake?, Nyerere ni wakati gani aliwahi kuvunja safari ya kiongozi (mb) wa kike na...
  9. A

    Kwanini Mbowe anarithi tabia za Lema za kupenda kupambana na polisi?

    Wana JF naomba mdadavue juu ya hili hususan kwa wale wanaofuatilia kwa karibu mikutano yote ya cdm tangu helcopta ziliporushwa ili kuhalalisha ufisadi wa mil.900 ; Kila mkutano unaoendeshwa na Mbowe maneno yafuatayo ni lazima yasikike, alikataa kukaa chini baada ya amri halali kutolewa na Naibu...
  10. A

    Wanachama na viongozi wa namna hii ni hatari sana kwa taifa

    Kicheko chenye furaha kwa mtu mwenye elimu nzuri hawezi kudai eti nchekaji hana staha. Wewe ndiye hovyooooo, wewe huenda unavuta, subiri rais wako aruhusu gongo. mcdm bwana ni majanga tupu.
  11. A

    Wanachama na viongozi wa namna hii ni hatari sana kwa taifa

    Unachekesha sana kama siyo kukera kwa mawazo na hoja mgando unazoleta hapa! Nyuki ni zao moja lenye thamani kuliko hata dhahabu, almas isipokuwa lulu pekee, yamkini wewe ndiye mwenye akiki dogo hivyo hata ukijitahidi kiasi gani utaishia kudhani viongozi wetu mahiri ndani ya serikali makini eti...
  12. A

    Rose Kamili Sukum atangaza kugombea urais kupitia CHADEMA

    Slaa ni Ibrahimu wa karne hii, kuzaa kilembwe, Duh. yuko juu. Rose ni Jembe na siyo hicho kibabu.
  13. A

    Mbowe awagomea polisi kushuka jukwaani Kibaha

    Jamani Mbowe ni Janga
  14. A

    Kwanini Mbowe anarithi tabia za Lema za kupenda kupambana na polisi?

    Kwa waugwana hatumshangai Mbowe kwa vitendo anavyovifanya, tangu Mbowe aaibike Bungeni kwa utovu wa nidhamu aliouonesha kukataa kutii amri halali ya Naibu spika wa Bunge tukufu la Jamguri ya Tanzania, hivi sasa anajaribu mutafhta namna ya kurudisha heshima na umaarufu ulioporomoka hadi -0, Mbowe...
  15. A

    Hotuba ya Mh.Mbowe yazua Utata kwa Wakazi wa Geita tarehe 27/1/2014

    Wananchi ambao walijitahidi kufika Uwanjani wakionekana na kuwa na nia mbili kuu; Kwanza kusikia toka kwa kiongozi ngazi ya Taifa tena kiongozi mkuu wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, mambo muhimuambayo yatawaondolea huzuni ya kukosa maji safi na salama, barabara bora ndani ya maeneo ya...
Back
Top Bottom