Recent content by Anderson Ndambo

  1. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania Thinking Deeply: Ilikuwaje Tundu Lissu akavuliwa nguo zote na kupewa dereva badala ya mke wake?

    Nimejaribu kuwaza kwa kina juu ya hii sarakasi inayoendelea. Awali ya yote nimpe pole Mheshimiwa Tundu Lissu kwa yaliyomkuta. Kwa wakati huu tuendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ili amponye majeraha aliyopata. Hoja yangu ni moja tu, picha ya hapo chini inamuonesha Dereva wa Tundu Lissu akiwa...
  2. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Unaweza kujichanganya hata ukiwa kwenye Tundu la choo
  3. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Tutaona mengi safari hii. Uchaguzi ndani ya chadema unakaribia
  4. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Hahahahahaaaaaaa. Hawajui kuwa mwanasheria wao anaitwa Tundu aka shimo
  5. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Hili lilijulikana tangu mwanzo. Sijui kwa nini Tundu Lisu hakushtuka mapema
  6. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tumchangie Tundu Lissu

    Chezea Mbowe wewe
  7. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    CHADEMA wazee wa fursa. Hapo Mbowe kaweka percent ya kwake
  8. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamgeuka Uhuru Kenyatta, Tanzania Daima latumika kumnanga

    Jibu hoja kamanda. Acha kupiga kelele
  9. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamgeuka Uhuru Kenyatta, Tanzania Daima latumika kumnanga

    Hahahahahahahahahaaaaaaa. Nimeipenda hii
  10. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamgeuka Uhuru Kenyatta, Tanzania Daima latumika kumnanga

    Tehetehetehetehe
  11. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamgeuka Uhuru Kenyatta, Tanzania Daima latumika kumnanga

    Wameshakuwa makanjanja hata kabla Lizaboni hajaunganisha dots
  12. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamgeuka Uhuru Kenyatta, Tanzania Daima latumika kumnanga

    Inakuwaje wanajifanya kumlaumu baada ya matokeo kufutwa?
  13. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamgeuka Uhuru Kenyatta, Tanzania Daima latumika kumnanga

    Hakuna watu wanafiki katika taifa hili kama CHADEMA
  14. Anderson Ndambo

    JamiiForums Tanzania DAR: Almasi yenye thamani ya Sh. Bilioni 32 yanaswa airport ikisafirishwa kwenda Ubelgiji

    Habari njema kwa Watanzania. Habari kama hizi ni aghalabu kuzisikia huko tulikotoka
Back
Top Bottom