Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga
How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao
Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo
Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃)...
Kumbe kinachosema watu kuwa ulimi wako unaweza kuwa laana kwako ni kweli. Kuna dada mmoja hapo nyuma aliachana na mume wake baada ya kufungua kibiashara chake ambacho kilikuwa kinamuingizia pesa.
Dada uyo alimchafua mume wake kwa kumtukana mpaka kwenye mitandao ya kijamii TikTok uko akishauria...
Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila...
Nimemwambia asichukuwe mwanamke wa bongo fleva kumleta ndani ya ndoa
Mwanamke hajawahi kuwa na kizuri kwake bali utembea tu na hisia zake sio kwamba ukimrizisha au kumfikisha kileleni ndo atakupenda sana .inawezekana ila akumbuke kunakuchokana pia
Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya yeye kufanikia kuona sms zangu
Ambazo nilikuwa naandikiana na dada poa.
Ananilaumu sana wakati chanzo ni yeye ambaye amekuwa akitumia tendo la ndoa kama njia ya kunidhibiti kihisia.
Na kibaya zaidi mimi kama mwanaume sina haki ya kuomba tendo kwake ...
Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao
Akina chif godlove wanatajirika kwa ujinga ujinga tu akina mwijaku na wengine wengi kibao alafu kuna akina sisi ambao tunaendelea...
Kila nikikumbuka kelele za watu fulani katika vita kati ya Israel, USA na Iran, nakosa raha.
Duniani kuna watu wabishi, tulipigiwa kelele kuwa Netanyahu kafa, sijui waziri wake wa ulinzi kafa, mkuu wa majeshi kafa.
Tukaenda mbali zaidi kutumiwa video za AI kibao
Sasa hivi wameshinda vita...
Sioni kumalizika kwa vita hapo kwanini nasema ivi israel hawezi kamwe kuruhusu ilo kwasababu kumalizika kwa vita hivi bila yeye kujihakikishia usalama wake ni bora abaki anapigana peke yake kuliko kuacha iran ikiwa bado inasimama
Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu
Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.