Recent content by Andare

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tigo mnasumbua

    Mmeanza na sms za kwenda kusajili line kwa njia ya vidole, mmeona haitoshi mmekuja na ujumbe wa maneno. Ninapopiga simu nakutana na ujumbe wa maneno kwa mimi naona unanipotezea muda tu hizo sms zinatosha.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawajui kuzungumza Kiswahili sahihi

    Huko bara ni shida kabisa.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli HIV iko kwa kiwango tunachoambiwa?

    Hata mimi hilo swali niliwahi kujiuliza.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mimi naomba kujua hili, inakuwaje kila ninachoota kinatokea?

    Habari zenu wana jukwaa, Mimi ni mgeni katika hili jukwaa hii ni mara yangu ya kwanza kuandika hapa. Kuna kitu huwa kinanitokea katika maisha yangu naweza nikalala nikaota kitu na katika hali ya kawaida kikaja kutokea vile vile nilivyoota. Kipindi cha nyuma kabla sijapata mwenza niliwahi kuota...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Dar: barabara yafungwa eneo la Jangwani

    Tumeshapazowea apo acha wafunge tu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Dar: Hii mvua mbona siielewi, tangu asubuhi inanyesha tu

    Huku Zanzibar inanyesha ya buku 3
Back
Top Bottom