Tigo mnasumbua

Tigo mnasumbua

Andare

Member
Joined
Sep 19, 2018
Posts
7
Reaction score
1
Mmeanza na sms za kwenda kusajili line kwa njia ya vidole, mmeona haitoshi mmekuja na ujumbe wa maneno.
Ninapopiga simu nakutana na ujumbe wa maneno kwa mimi naona unanipotezea muda tu hizo sms zinatosha.
 
Nenda kasajili mbona ni dakika mbili tu ushamaliza na karibu sehemu nyingi sana wanasajili sio mpaka uende tigoshop.
 
Back
Top Bottom