Recent content by anchor

  1. A

    najitokeza kutafuta mke wa kuoa

    Mwenye sifa zifuatazo awe mwa adventista msabato..awe mrefu kiasi..rangi yoyote umri 18 hadi 22...elimu awe amemaliza vidato sita na kuendelea....mcheshi...na mwenye kujari...kabila lolote awe na upendo wa kweli....kwa maelezo zaidi anaweza kunitumia sms kwa namba hizi 0752237407
  2. A

    ushauri

    nifanye nini ili niache kupiga punyeto? jamani mimi ni mvulana 26 miaka nimeanza kupiga nyeto tangu kidato cha tatu hadi sasa nipo chuo najaribu kuacha nashindwa pia nakosa kujiamini napotaka kumtokea mwanamke ninayempenda zaidi ya kumpigia nyeto ukweli sina grl friendy until dis tym na...
  3. A

    Kwa wale waliopata mkopo kutoka hlssf?

    wezi jamani wezi hao hata mimi nimeibiwa sikubali wanirudishie elfu thelathini zangu
  4. A

    TRAFIKI ashindwa kuongea kiingereza

    halafu mbona waheshimiwa kule mjengonii wanashindwa kuongea kingereza kabisa kama unakumbuka kipindi wanawania wawakilishi wa bunge la east africa.walivyokuwa wanajiumauma ebu tujiulize tatizo ni nini! halafu mkumbuke kuwa kuna watu ni wazuri kwenye kingereza cha kuandika lakini kuongea tatizo.
  5. A

    TRAFIKI ashindwa kuongea kiingereza

    halafu watu wengi wanadhani kuwa polisi wanaelimu ya chini..wanadai kimbilio la waliofeli form four ni ualimu na upolisi sio kweli jeshini sasa kuna watu wamekwenda shule kwani jeshi la sasa ni tofauti na zamani jeshi la polisi la sasa nilaueledi.usasa.na polisi jamii.
  6. A

    TRAFIKI ashindwa kuongea kiingereza

    sasa ndo kusema akija mfaransa nisipojua kifaransa nimechakachua vyeti,!wewe mwenyewe hujui kingereza acha hizo
Back
Top Bottom