Recent content by Ananias Salvatory

  1. Ananias Salvatory

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Hii ndio Tanzania tuliyoitaka..... Nadhani tuzidi kuugulia japo sijui makovu yatafutika lini!
  2. Ananias Salvatory

    Graduates shitukeni mapema hali sio nzuri

    Ubachosema ni kweli na kama tutakaa kuisubiri ajira mwisho was siku tutajikuta matatani kabisa! Naamini akili ikishughulishwa ktk kufikiri kwa mapana zaidi tutapambana na hali hii ngumu
  3. Ananias Salvatory

    Natafuta shule ya kufundisha kwa hiari bila malipo

    Hiyo ndio kawaida ya waafrica ila ijulikane kwamba kila mmoja ana fikra na utashi wake. Maneno yako kiukweli yana maana, Asante sana. Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
  4. Ananias Salvatory

    Natafuta shule ya kufundisha kwa hiari bila malipo

    Hayo majungu sasa tutaanz kuharibian vibarua! Kwani wanaoharibik hadi sasa mm ndiye nawaharibu? Ach hizo best
  5. Ananias Salvatory

    Natafuta shule ya kufundisha kwa hiari bila malipo

    Unaona eeee! Anayejali hawezi kushuku vibaya sema tu mitandaoni wapo watu wa aina tofauti! Ila point yangu ya msingi ni kufundisha tu! Mengine sina mpango nayo wala hayako kwa mind yangu
  6. Ananias Salvatory

    Natafuta shule ya kufundisha kwa hiari bila malipo

    Niko vizuri toka concept ya kwanza hadi ya mwisho
  7. Ananias Salvatory

    Natafuta shule ya kufundisha somo la geography

    Nipo Bukoba ndg.. Kama kuna maelekezo tuwasiliane kwa 0759883351
  8. Ananias Salvatory

    Natafuta shule ya kufundisha kwa hiari bila malipo

    Natafuta shule ya sekondari yoyote kwa ajili ya kufundisha somo LA geography kwa kidato cha 1 hadi 6. Aliyeko tayari tuwasiliane mara moja.
  9. Ananias Salvatory

    Ni nani hasa aliyeharibu elimu ya Tanzania?

    Nimemaliza LA Saba 2007 ila sikuwa nachagua jibu mm....
  10. Ananias Salvatory

    Msaada wakuu namna ya kutumia GPS kkwa calculation ya eneo

    Unacalculate nn mkuu? Umbali, ukubwa au position? Ainisha
  11. Ananias Salvatory

    Msaada jinsi ya kusoma online masters ya Engineering au ICT

    Hiyo course automatically inatolewa campus na sidhani kama kuna chuo kinatoa hizo course online maana zinahusisha practical trainings kwa kiasi kikubwa Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
  12. Ananias Salvatory

    Natafuta shule ya kufundisha somo la geography

    Ndg watanzania, wadau wa elimu na wamiliki wa taasisi za kielimu, natafuta ajira ya ualimu ktk somo la geografia kwa vidato vyote yaani kidato cha kwanza hadi cha sita, shule yoyote na katika mazingira yoyote ndani na nje ya tanzania. Natumaini litasomwa na kama uko tayari hata kwa ushauri...
Back
Top Bottom