Kwamba, CHADEMA ikiwa ni key discussant maana yake walioathirika na Oktoba ni CHADEMA. Maana yake baada ya maridhiano watasema walioandamana Oktoba ni CHADEMA. Na hiyo ikatumika against them.
Sijataja makundi, nimesema kama maridhiano ni matokeo ya Oktoba, je aliyeathirika oktoba ni nani? Chadema au wananchi? Je wananchi wale walikuwa CHADEMA? Au wananchi kwa ujumla regardless ya itikadi ya vyama?
Neno maridhiano limeshika kasi kwa siku za hivi karibuni. Lakini mjadala upo zaidi kwa CHADEMA. Maswali niliyonayo ni nini kilitokea?
Chadema hawakushiriki uchaguzi, je watafanya maridhiano gani kama sio kuyafuata waliyohahitaji kabla ya uchaguzi?
Lakini kama maridhiano ni matokeo ya...
Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude.
Ili kumjua Dude inabidi uwe umezaliwa miaka sio chini 1999 na kwenu kulikuwa na TV ili kuwa na...
Hii barabara niliona mwisho wake tangu wameweka kokoto, kwa sasa hali ni shida sana toka IpoIpo hadi Kihonda sekondari, ila ndio hivyo.
Barabara nyingine korofi ni kutoka Darajani kuelekea Holy Cross, japo shule nzuri ziko pale na ni rahisi kupita ila barabara mbovu sana, kuna muda hata...
Shilingi ya Tanzania imeanza kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani. Kwa data za BoT kwa kipindi cha Jan 26 hadi Feb 5, thamani ya Shilingi imeshuka kwa takriban 3%.
Ikumbukwe kuwa bado tunaendelea kuuza dola ili kuongeza ukwasi sokoni na pia tumeanza kuuza dhahabu.
Mwaka jana tulizuia vitu...
Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya Kisaki, ilipokea Tsh 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Shule hii ina jumla ya wanafunzi 18 kuanzia...
Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10.
Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?!
1. SAFARI YA VATICAN
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.