Recent content by analia2

  1. A

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Morogoro Kihonda

    Nyumba self contained four bedrooms inapangishwa morogoro kihonda kwa chambo jirani kanisa na stendi kuu ya mwendokasi wa SGR. Umeme, fence, maji vipo. Nyumba ina tiles gipsum and aluminum windows. Kwa mawasiliano 0785068996. Bei 300,000 kwa mwezi na kodi ilipwe kuanzia miezi mitatu. Tank la...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho chumba, sebule self contained 100,000 kwa mwezi

    NDIO BAJAJ 500, NDIO MWENYE NYUMBA YUPO, KUANZIA UWANJANI NI DAKIKA 10
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho chumba, sebule self contained 100,000 kwa mwezi

    PICHA NIMESHAWEKA WAKUU
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho chumba, sebule self contained 100,000 kwa mwezi

    nipe namba ya whatsapp nikutumie au nitext 0785068996
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho chumba, sebule self contained 100,000 kwa mwezi

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho. 3 km barabara ya kwenda bonyokwa ni chumba, sebule jiko na choo ndani. nyumba ina alluminium windows, maji, feni tiles gypsum, Sipo ndani ya fensi..100,000 kwa mwezi ilipwe kwa miezi sita. usafiri upo 24 hours. Tuwasiliane 0785068996
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tunafunga cctv camera,na alarm system

    WEKA BEI YA KUANZIA PLEASE
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msichana WA kazi anahitajika

    Wasiliana na Joyce Kiria ana huduma hiyo kwa namba 0783137777
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa kuwa mbaya

    hongereni mamlaka ya halli ya hewa kwa kutoa utabiri wa uhakika kwa wakati. mamia ya maisha ya watu yameokolewa kwa hii tahadhari. mali pia zimeokolewa. tunaomba muendelee na moyo huu wa kutenda kazi. watawaelewa tu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa leo imetahadharisha...!

    tupe taarifa zaidi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe anavyomlinda Kijazi wa TMAZ

    hali ya hewa is beyond geographical borders, ni lazima asafiri. huwezi kuweka mipaka ya mawingu na pepo
Back
Top Bottom