Recent content by Anajua peter

  1. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Kwa waliochaguliwa Eckenforde Tanga university, maisha ya Tanga mjini.

    Mbona chuo kizuri tu!! unafiki wa watu tu ambao hawajui hata kilipo wala maswala ya academic
  2. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Tetesi: KUHUSU BOOM

    CCM mbele kwa mbele
  3. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu bora hapa Tanzania

    Hahaaa vyuo vyote ni bora maana inategemea jitihada za wasomaji na hiyo list hapo juu hamna lolote
  4. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo??? Na nini kifanyike???

    Everything we do successfully is the result of our desire ukiamua kutobadilika hautobadilika na maisha yataenda
  5. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kuhusu "HESLB"

    Tulieni hacha wenge
  6. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo kimeeleweka, pressure Hakuna

    Hacha urudufishaji
  7. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wanafunzi wa kidato cha sita waliobahatika kupangiwa vyuo

    We endelea kusodoka tu lakini waelewa wameelewa
  8. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi waliopata Mkopo Chuo kikuu MUM 2016/2017

    Lakini wao wanajitegemea sio bodi ya mikopo hiyo Bali ni chuo husika
  9. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

    Duh unaingiaje mkuu?
  10. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Eckenford Tanga University tukutane hapa

    Sasa kama hujui kipo sehemu gani kwann unasema wamekosa pa kwenda ?? "ulikuwa una maana gani kwa mfano!!!!!
  11. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Eckenford Tanga University tukutane hapa

    Kwanini??
  12. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania Eckenford Tanga University tukutane hapa

    Mbona kwenye website yao hamna kitu au nyie mmeona kupitia wapi?
  13. Anajua peter

    JamiiForums Tanzania St john second round

    Mmmh
Back
Top Bottom