Uchumi unafanana na kikohozi huwezi kujifucha. Serikali haina hela ya kununua korosho. Lazima ichutame kwa wafanyabiashara iliyowakataa awali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanasheria uchwara wanaoshindwa hata kutofautisha kati ya salary na wage. Yeye anamuagiza Mbunge na Afisa Mpango wa Wilaya, yeye kama nani.? Huyu Solicitor kweli anayafahamu mamlaka yake vzr.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mwanasheria Mkuu alidhalilisha kada yake kwa kushindwa kujibu lile swali. Kuna wakati mchangiaji mmoja (nafikiri board member) aligusia na kusema kuna contradiction kati ya Salary na wage kwenye sheria ya NSSF na PSSSF hivyo smart lawyer alitakiwa pale pale apitie hizo sheria asome...
Simbachawene ndiye mmliki wa TITANIC bar pale vingunguti relini jirani na soko la mbuzi. Nimeitembelea hivi karibuni naona kaiboresha na kuweka counter 2 na ameijengea vzr. Siku hizi namuonaga akilewa hapo baani kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utetezi wenu kwamba kifungu kinachowakandamiza watumishi wa umma hamukukiona ni utetezi wa kitoto usio na chembe ya mashiko wala aibu. Sasa tunawasubiria kwenye muswada unaohusu Vikoba/saccos kuwa chini ya Benki Kuu ya Tanzania. Yaani wale wananchi wanyonge waliojiongeza na kuanzisha kakikoba...
Yaani mstaafu aliyetakiwa kulipwa milioni 200+ Leo kwa sheria hii iliyoanza kutumika tangu August Moja, 2018 atastahili kulipwa si zaidi ya milioni 38!!! Kweli hii ni haki kwa watumishi wa umma waliotumikia taifa kwa zaidi ya miaka 35 (mbona mnawalizimisha watumishi kupata strock-kupooza mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.