Recent content by Amtico

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Ndio sio vibaya kusafisha lkn km labda ni mimba inatishia kutoka kwa sababu kutoka damu matone inatosha kuwa dalili ya kutoka mimba bila maumivu ht kidogo
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Jamani naomba kuuluza swali mwenzenu nina miezi 2 sijapata period na baada ya wiki 5 nilianza kuhisi dalili za mimba km kichefuchefu kupata haja ndogo mara kwa mara kuchagua vyakula uchovu baada ya wiki ya 7 dalili zikafutika nikaenda pharmacy nikanunua kipimo cha mimba nikakuta positive lkn...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua mchepukaji Me/Ke

    Unafanyaje kuzipata msg ktk email yako naomba unielimishe
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Yaani sihitaji mtoto kwa ss naomba msaada
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Habari zebu wana jamvi Mimi Hii mada ya kurudi nyuma siku 15ndio sielewi menstrual cycle yangu haieleweki yaani in exactly ni siku ngapi Nina mzunguko zaidi ya miwili S's nitajuaje hiyo pin point mom sitaki kupata motto naomba mnisaidie
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji iPhone 6

    Mm ninayo ila sio mpya km hutojali ni pm
  7. A

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Mahakama ya Kadhi tafadhali

    Dada faiza mi naomba kuuliza km mume alijiweka nyuma ktk utafutaji kila kitu anafanya mke mfano ktk ujenzi wa nyumba je mkiachana mume ana haki ktk nyumba hyo Wakati hakusaidia au awe amechangia asilimia 5/100
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tuondoe ubishi juu ya wanawake wenye uke mrefu na mfupi

    Kujadili maumbile ya mtu nikuingilia kazi ya mungu mungu aliumba kila kitu kwa maana yake kuna mihogo,mguu wa mtoto kuna vibamia ss kila kitu mungu ameumba kina pair yake papuchi kubwa kwa mguu wa mtoto au limuhogo na papuchi ndogo kwa vibamia kazi kwenu watumiaji
  9. A

    JamiiForums Tanzania Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Sweetheart hujanijibu hayo majivu lazima unywe kila siku ht km huja sex au unaweza kunywa tu pindi unapotaka kusex
  10. A

    JamiiForums Tanzania Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Asante cn mumy ila sijafaham unatumia kila cku kwa sababu mi natumia vijit lkn naona madhara Makubwa na sijapata mbadala wa kinga
Back
Top Bottom