Recent content by Amri kuu ni Upendo

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI chunguzeni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za serikali katika shule ya sekondari Mvuti

    Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka 2019 alipoondolewa Head Master aliyekuwepo na kuletwa Headmaster Mpya aliyepo mpaka sasa! Je nini...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

    Hapa kwangu mabweni manne makubwa na ya kisasa yote ya wasichana! Bweni moja tu la wavulana na wavulana wamewekwa 20 tu kati ya vyumba mia moja ambavyo vyote ni tupu! Mabweni ya wasichana yamejaa wasichana zaidi ya mia na hamsini, ukiuliza why wavulana wanaendelea kutokea day (nyumbani)...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

    Dawa ya kupoozesha jino tu!! Hapo salute Nampa mengine yote [emoji2781]!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

    Yaani eti mastore ya Einstein ndio wayaamini!!? Daaaahh!!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tazama kipande cha video kutoka ISS jinsi jua linavyozama

    Jiografia niliyoisoma na mifano mizuri yote niliyooneshwa kuthibitisha kuwa jua liko stationary na dunia ina move ilikataa kunasa kwa brain yangu hadi nazeeka. Nimeendelea kuamini ninachokiona ni sahihi kuliko nilichokaririshwa: Dunia Iko stationary na jua na all luminaries bodies in sky zina...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mzazi hana uwezo wa kukulaani wala kukubariki

    Huyu jamaa ni sehemu ya laana tupu maana ni juzijuzi alipiga kelele sana na huo uzi wa baraka za Baba but leo anajinusa vidole mwenyewe kwa kujipinga tena Kwa miandishi mingiiii!!! Nadhani anakaririshwa sehemu huko kwa secret societies si bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Ilala Jiji Dar es salaam Mimi nije Mwanza Ilemela. Idara secondary, masomo History & Kiswahili Nicheki inbox Kwa mawasiliano zaidi
  8. A

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mzee baba nakuja FANYA tufanye! Njoo inbox [emoji392] tupange.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

    Yatafute majibu ndani ya nafsi yako tu mkuu utayapata Kwa wakati wako na utaridhika nayo.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ya Scandinavia yanaweza kujirudia kwa Esther coach?

    Mkuu mshana hebu nifafanulie kiasi mzee mimi ni mteja sana wa Dar lux na nilipenda kutokana na customer service bora sana! Sasa mwezi huu nimeenda ofisi yao ubungo kukata tiketi na kulala hapohapo ili kesho yake nianzie hapo safari ya Mwanza, customer Care haijachange kivile ila sasa: Hawana bus...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: UVIKO-19 bado upo, ni muhimu kupata chanjo

    Si achanje tu yeye kwa niaba yetu wenye nchi jamani!!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Yanahitajika mageuzi ya haraka sana CHADEMA, chama kinapoteza ladha

    Acha na wenzako watapike povu zao Mzee, mbona wewe ukiandika mapovu yako mareefu si tunayasoma tu hivyohivyo!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wasukuma Wanazaliana Sana, Inahitaji Affirmative Action juu ya Uzazi wa Mpango dhidi yao

    Huenda wewe huna kizazi Kwa hiyo ndani ya andiko lako kuna ka harufu ka wivu na roho chafu!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wasukuma Wanazaliana Sana, Inahitaji Affirmative Action juu ya Uzazi wa Mpango dhidi yao

    Sasa ombi lako lipi hasa tukusaidie ni wasukuma wabanwe wasiendelee kuzaliana au wasukuma ni wachawi sana waogopwe?
Back
Top Bottom