Mshahar wako ni kias gani ?na unampa ili naye awe kama ameajiliwa? au mantik yake ni nini tupunguzie maswali maana naona tuko njia panda tupe elimu au mkeo anafanya kaz nying san hapo .kwako au kakufurahisha sana
Pole kaka ila mapenz muamuz no we we mwenyewe pia unapotaka kuchukua maamuz magumu tuache wachangia tuongee halafu utachuja mwisho WA maelezo yako umesema unampenda sana kwakuwa unampenda kwa hiari mpende ila kama ningekuwa mm nisingesumbuka kuendelea kumpenda MTU msaliti asiye jua thamn ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.