Recent content by amoxillin

  1. A

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa mtoto kuota meno

    Salamu zenu wanajamvi, naomba kufahamu mwanangu ana miezi tisa na nusu hana jino hata moja, je yaweza kuwa anatatizo? Nimechanganyikiwa ni mwanangu wa kwanza.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji hiace ya biashara

    Hata hio poa, ilikuwa inafanya shughuli gani? Nipe criteria zake,imetembea km ngapi if ntapendezwa utanirushia picha watsup
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji hiace ya biashara

    Nina mil. 9,ninahitaji kununua haice kwa biashara ya daladala. Sina uzoefu na magari lakini sitaki iliyochoka, iwe na namba kuanzia B,isiwe imetembea km zaidi ya laki mbili,mwenye nayo tuwasiliane
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hamjiungi na ALIBABA small business website

    Please pm namba yako, nahitaji kufanya biashara bt ninaaccesss ndogo abt these issue
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua duka la vitu vya watoto Mbeya

    Npo mby mjini.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua duka la vitu vya watoto Mbeya

    Nipo mkoani nina mil. 5,nataka kufungua duka la nguo za watoto na kuuza pampers, mwenye uzoefu tafadhali anipe mawazo.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua duka la vitu vya watoto(pampers,nguo)npo mkoani, mwenye uzoefu ani pm.,

    Nipo mkoani na hiyo ndo idea yangu, nina mil. 5,aliyetayari tufanye biashara niwe supplier.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wachumba tuambiane magonjwa yetu yote kabla ya kuoana sio UKIMWI tu

    Daah!kupima ni vema ila kwa jamii za kiafrika upimaji ni sehemu ya uzalilishaji, mara nyingi mwenye tatizo huishia fedheha pasipo msaada. Mostly side effect huwa kwa mwanamke, Mungu ametuumbia huruma yani sie hata mwanaume anapokuwa na tatizo huwa tu tayari kuyabeba kitu ambacho kinatucost...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa wanawake wa kisukuma ni wife material

    Ni kweli kabisa, sie wasukuma ni wavumilivu, yani kwetu ukishaolewa hakuna kuachika.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linanihuzunisha sana, hivi serikali imeshindwa kazi

    Eeeh! Mwenyezi Mungu wanusuru hawa ndugu zetu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

    Thanx kwa ushauri mzuri, kwa suala la usafi najiamini, najitahidi sn, perhaps even more than before sijapata mtoto, kwa ufupi nilishakuwa na uelewa tayari kwamba wanaume wengi hupoteza hamu kwasababu wake zao huwa careless after birth.Ninatabia njema kiasi kwamba naona ndoa yangu ni paradiso...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

    Hi JF members, naomba ushauri kwa wale waliopo kwenye ndoa. Ni hivi nimeolewa na nina mtoto mmoja, lakini nina miezi tisa sijashiriki kimapenzi na mme wangu, sio kwamba sitaki la, ni vile naona mwenzangu hajishughuli nami, ishu ni hivi nimekaa na mme wangu miaka miwili ya uchumba nina uhakika...
Back
Top Bottom