Recent content by Amoun_Osiris

  1. A

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Evidence…evidence...evidence…really? Hivi tunapoongelea grand corruption, ama ubadhirifu uliokithiri, ama black money kama za mihadarati, ujasusi, white collar theft, (in every sense of the concept)nk…ama kutengeneza deal ama kusuka mtiririko fulani wa fedha kwa ajili ya mtu/watu kujinufaisha...
  2. A

    Hotuba za Rais kila mwezi

    I think we have a tendency to use concepts very loosely. Mimi nadhani tuwe very careful with this. Ni vizuri kuchimbua maana ya concept, na kuitendeaa haki katika kuitumia! Intellectualism sio usomi, na kumtambua ama kum-brand mtu kuwa ni intellectual sio jambo dogo hata kidogo! Sio mtu...
  3. A

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Kuna kitu lazima tukumbuke, and this is very obvious...watu wenye madaraka ni wanadamu wa kawaida kabisa, wenye human weaknesses, sentiments; pia hawa wanadamu wana individual differences (wanatofautiana) na commonalities (kuna vitu wanafanana, kama individuals ama kama a-class ama kama a-group...
  4. A

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Lazima pia ukumbuke kuwa ile ilikuwa talaka moja, na ina maana yake. Yaani kwamba kuna kila uwezekano wa kurudiana tukimaliza tofauti zetu ama ukijirekebisha ama kwasababu moja au nyingine mume akibadilisha uamuzi wake. Kwa mfano, mwanamke wa Ki-Islam akipewa talaka moja haruhusiwi kuolewa ama...
Back
Top Bottom