Recent content by Amos Stella

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Swali ni kuwa hizi video huwa zinafikaje mitandaoni?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Sengerema, Magufuli agoma kumnadi William Ngeleja

    Asante kwa kufuatlia mikutano ya Magufuli. Dawa inaingia taratibu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni CCM Sengerema, Magufuli agoma kumnadi William Ngeleja

    Magufuli amemtosa Ngeleja. Safi sana Magufuli huo ni mfano umeonyesha!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli aiteka Nyijundu Nyanghw'ale wilayani Geita

    Kila la Kheri Dk tuko pamoja na wewe. Umoja Ni Ushindi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hili la "kulinda kura" sawa ila watangulie hawa

    Ndio style wanayotumia kuwahamasisha vijana kulinda kura, vijana hawatakua kwenye akili zao za kawaida!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kama hujui hesabu ya nani ni Mshindi Oct 2015 usiangalie hii picha

    Tar 25 sio mbali mtaumbuka!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa amfunika Magufuli Nairobi, Wasema ni kiongozi Bora

    Anafaa kwenda jela?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Hakuna mwizi kama lowassa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Kumbe Lowassa na Sumaye walizigawa nyumba hadi kwa mahawara zao? Duuh basi hata hawafai kabisa!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tumbo ni deni la maisha sio lazima kulipa kila siku.

    Lowassa na genge lake ni hatari kwa taifa!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Magufuli anafaa,Ingekuwa ni kumwaga zege

    Nahisi hii ni sehemu sahii ya ile kauli ya Msigwa kua "Atakaye mpigia kura Lowassa akapimwe akili"
  12. A

    JamiiForums Tanzania Push up za Magufuli ziliandikwa miaka 2000 iliyopita

    Huyu ndiye kura yangu Magufuli JP
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kariakoo nao wanafanya utafiti wao

    UKAWA ni wachache sana ila ni wataalamu wa kupiga kelele na kuzomea, kwenye daladala wako wawili tuu lakini wanapiga kelele wao tuu abiria wengine kimyaaaa wanajiona wapo wengi, cha msingi waanze kujiandaa kisaikolojia!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili CHADEMA na UKAWA watakataa matokeo ya Urais

    WATANZANIA wakiamua kuchagua Magufuli UKAWA ni kina nani wapinge? Labda mbowe na wenzake ila sio Watanzania!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    Safi sana, tunaamini kwa mwenendo wa kampeni za CCM Ikifika October 25 hizo asilimia zitapanda zaidi Umoja ni Ushindi. Magufuli for president.
Back
Top Bottom