nimejarib kuisoma katiba mpya na kupitia baadhi ya vifungu.kilichonishangaza zaidi viongozi wamezidi kujilinda huku (1)maoni ya mwananchi yakitupiliwa mbali nami nasema "hapana"
achilia mbali kuisoma kilichoniumiza
(2)zaidi ya robo tatu ya wananchi katika kata yangu hawajaisoma katiba mpya...
Ningependa kufahamu zaidi kwani ninawazo la kuanzisha biashara ambayo nimejaribu kuchunguza nikaona ina mafanikio lakini tatizo lipo kwenye mtaji kwani ninaishi maisha ya chini sana. Ahsante sana
Ningependa kufahamu zaidi jinsi ya kujiunga na vyuo vinavyotoa elimu ya sanaa na utunzi wa vitabu ili nami niweze kujiunga.pia ninaomba mniorodheshee hivyo vyuo vinavyopatikana ndani hata nje ya nchi.Ahsanteni Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.