Amos msese
New Member
- Mar 7, 2015
- 3
- 1
nimejarib kuisoma katiba mpya na kupitia baadhi ya vifungu.kilichonishangaza zaidi viongozi wamezidi kujilinda huku (1)maoni ya mwananchi yakitupiliwa mbali nami nasema "hapana"
achilia mbali kuisoma kilichoniumiza
(2)zaidi ya robo tatu ya wananchi katika kata yangu hawajaisoma katiba mpya
(3)kinachofanyika zaidi baadhi ya viongozi wetu wanawaambia wananchi wapige kura ya "NDIO"
nimefanya utafiti katika kata yangu na nimepata baadhi ya hayo,hivi TANZANIA tunakwenda wapi?