Recent content by Amos Enock

  1. Amos Enock

    TANZIA: Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

    mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu mzee wetu kipenzi na gwiji wa comedian Tanzania
  2. Amos Enock

    Msaada wa kisheria kuhusu mkataba wa kazi

    Kwani tatizo lako ni lipi be certain
  3. Amos Enock

    I need your help,wataalamu Wa sheria.

    Tafuta mwanasheria akusaidie peleka maombi mahakamani au ustawi wa jamii kuhusu matunzo ya mtoto mahakama ndio inaweza kutoa maamuzi mtoto akae wapi kulingana na interest za mtoto mwenyewe
  4. Amos Enock

    Msaada na ushauri kisheria

    Lazima utoe sababu original ziko wapi,ukishindwa kuthibitisha original copy ni ngumu kukubaliwa ila sheria INA ruhusu copy kuwa tendered kama evidence
  5. Amos Enock

    NAONA SIJIBIWI HILI SWALA LANGU

    Hakuna cha kufanya hio ni sheria labda upeleke muswada binafsi wa kubadilisha sheria hio
  6. Amos Enock

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Tafuta mwanasheria ufungue kesi kwenye tume ya usuluhishi wa migogoro ya wafanyakazi,
  7. Amos Enock

    Fumanizi ni kosa la jinai?

    Fumanizi sio kosa la jinai ila unaomba tuu kulipwa fidia
  8. Amos Enock

    Shahidi wangu kagoma kwenda mahakamani

    Nenda mahakani ukaombe samansi aitwe na mahakama aje kutoa ushaidi akikataa kuitikia wito wa mahakama anaweza akakamatwe kwa kuidharau mahakama Fanya hivyo itakusaidia
  9. Amos Enock

    IKULU: Balozi Mteule Dkt. Wilbroad Slaa akutana na Rais Magufuli na kufanya naye mazungumzo

    Dr.slaa ni balozi wa nchi maana tangia ateuliwe kuwa balozi sijajua nchi aliyo pangiwa
  10. Amos Enock

    Morogoro: Wabunge wa CHADEMA warudishwa rumande, hakimu anaumwa!

    Watatoka tuu, mungu atawasaidia
  11. Amos Enock

    Zitto: Tunapokea bil 640 na tumepoteza tril 1.8 ya capital gain ya makinikia kwa ubabe usio na tija

    Lakini Mimi naona makubaliano mengine ni zaidi ya pesa ambapo nchi inaweza kunafaika zaidi kwa muda mrefu zaidi kama vile 50 kwa 50 na serikali kumiliki hisa ya asilimia 16 Mimi naona si haba ungawa zitto anabeza kila kitu
  12. Amos Enock

    Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    Kuna watu wanawaza kwa kutumia makalio kwa hip kama ni muyahudi tufanyaje SASA pamoja na ushawishi wake tuendelee kuibiwa acha ujinga wewe rais ni taasisi na yeye ana washauri wake tumuache rais afanye kazi tusibeze juhudi za serikali
Back
Top Bottom