Si kosa lako. Watanzania wengi hatupendi kusoma maandishi marefu na mambo ya umuhimu. Thread za kijinga na zisizo na mbele wala nyuma ndizo tushadadiazo.
Mkuu huu uzi mzuri sana, tatizo sisi watanzania tumelogwa na aliyetuloga alituloga vibaya sana. Tunapenda sana kujadili vitu visivyo na kichwa wala miguu. Vitu vya maana kama hivi vinakosa mashiko.
A. Nafikiri she is not smart sana kimavazi coz ni hasla sana
B. Mazingira half uswazi half ushuwani
C. Kama ningekuwa nafanya naye kazi nafikiri ni mtu hard work ila sikio kalitega mda wote kusikia nini kimetokea
D. Siku ni kionana naye nitajiuliza ni huyu kimbau mbau au short ndiye mwenye post...
Acha kutapatapa wewe mjomba. Endelea tuendelee sasa unatafuta kichaka cha kujifichia cha nini? kwamtoro ameingiaje hapa. au ulifikiri mambo yako ya kijinga yanamkera kwamtoro tu. acha ushamba kijana
@kwamtoro, wasichana wa kileo wanapenda kuchukuwa tahadhari ya kutokukimbilia kwenye ndoa kwa sababu zifuatao.
- Wana wakwepa wanaume ambao siyo waaminifu, wapigaji, watukanaji na ambao mama zao awawapendi.
- Wanaume wengi wamekuwa siyo husband materials. Awana maono, matarajio nakadhalika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.