Recent content by Amon Sabiko Nestory

  1. A

    Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    hii nchi ya kinafki na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa nadhan mpaka hao watu wasio julikana waingie ikulu wamuue rais ndo labda siriousness itakuwepo!....manake staki kuamin kwamba vyombo husikaa vimeshindwa kuwatia nguvuni hawa maharamia na ni kwa nn iwe wakenya tu? Na pia kwann Zanzibar...
  2. A

    Jiweke kwenye nafasi ya mzazi halafu soma kipande hiki

    dah!...hiii kali huyu dogo balaa tupu lakin kama ni kipaji kajaaliwa!....ila kama mdingi nshakwisha kabisa na presha aseh!
  3. A

    Kila mtanzania awe mtoto au mtu mzima, anadaiwa zaidi ya tshs 445,000/=!!!

    hii italipika pale tutakapo mpunguzia Rais madaraka ya kuchagua baraza la mawazir, manake kwenye uchaguzi tunachagua Rais na Naibu wake na yeye anachagua genge la wahuni wenzake (baraza la mawaziri) na matokeo yake ndo haya!....Watanzania kulipika kwa deni hili mwanzo wake ni Badiliko la katiba...
  4. A

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    mtoa mada kweli anaroho ngumu sana....sijamsoma hapo alitaka KUEMPHASISE nini......jaman kidumu cha mapinduzi kilishatoboka hakizibiki hcho!!!!!!
  5. A

    Utafiti wangu: Wanaume hawapendi kuoa wanawake wazuri sana...

    huu ni uzembe wa kufikir unandhan haya hayawez kutokea kwa huyo unaye mwita mbaya?...........mwanamke ni mwanamke tu cha msingi ni vp unamtreat aseh hata mbovu anaweza kukuvuruga ukashangaa!
  6. A

    love..

    pole kaka!......kama kweli bado unampenda jarb kuangalia ni wapi uliteleza af rekebisha ili asifkirie kutoka nje tena!
  7. A

    Ukweli kuhusu wanaume!

    no body understands them bt men them selves!.....just be a woman and let them be!
Back
Top Bottom