Swahili Union Version 2 PET. 1:20-21 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu. Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
Hongera! Kwa maswali nyeti, makini na yenye nguvu mno tena si maswali dhaifu bali maswali yenye mantiki Vladmir Putini
Kwa kuanza kujibu hoja zako nianzie hapa, Ukamilifu wa Mungu, na ukamilifu wa kibinadamu ni vitu viwili tofauti kabisa , tuanzie hapa kwenye hoja ya uumbaji, Mungu alipowaumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.