Recent content by amita bacha

  1. amita bacha

    Hivi Congo ina bahari au haina bahari

    Hii ndiyo matadi port sasa hii bandari ni ya mto au bahari Mimi naona mto tu hapo
  2. amita bacha

    Hivi Congo ina bahari au haina bahari

    Huo ni mkondo tu hawana bahari wale
  3. amita bacha

    Hivi Congo ina bahari au haina bahari

    Huo ni mkondo tu wa bahari ,bahari ipo Angola kama wanayo bahari kwann hawana bandari waje kushusha bidhaa bandari ya Dar
  4. amita bacha

    Baba ananitenga na dada anakula matunda ya kodi,nikiwa milionea kweli nitamsaidia kwahali hii?

    Ndugu zanguni hivi ni sahihi kwa Baba mzazi kumtenga mwanaye? Kwa muda mrefu Mzazi wangu amekuwa akinitenga na kutoonyesha ushirikiano kwangu mimi jambo linalonivunja moyo na kuniathiri kisaikolojia.Nimekuwa na huzuni na manunguniko sababu ni baba yangu leo hii nikifa chanzo cha kifo changu...
  5. amita bacha

    Baba anataka kuniondoa kwenye urithi na anawapendelea binti zake

    Ndugu zanguni kwenye maisha tunapitia mengi kila mtu anayo yale aliyoyapitia lakini sidhani kama kuna aliyeyapitia kama haya ninayoyapitia mimi kiukweli inauma na kusikitisha sana . Baba yangu kwa muda mrefu amekuwa akiwapendelea watoto wa kike na hiki kitu ni kibaya kinajenga matabaka na chuki...
  6. amita bacha

    Shangazi wanatishia kuniloga na wanashirikiana na polisi kunimaliza

    Mama alikufa mwanzo. Hajaacha mume bali watoto tu Upande wa mama tupo 3
  7. amita bacha

    Shangazi wanatishia kuniloga na wanashirikiana na polisi kunimaliza

    Lakini kwanini na wao wagombanie si haki yangu lakini sitaki kuzulumiwa
  8. amita bacha

    Shangazi wanatishia kuniloga na wanashirikiana na polisi kunimaliza

    Nasikitika na kuumia katika maisha yangu sijawahi kulala kituo cha polisi wala kufika kituo cha polisi sababu mimi ni mtu mwema lakini cha ajabu nimelazwa kituo cha polisi siku 4 kwa mara ya kwanza bila ya kosa lolote nimetafunwa na mbu ,watemi manyapara wamenionea kwakuwa nililazwa selo la...
  9. amita bacha

    Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Mna roho mby wote walewale tu kuvunjana mioyo kwan nyie mlishawahi kudaiwa kodi na baba zenu .mungu atamlipa tu kwa ubaya wske
  10. amita bacha

    Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Ndugu zanguni mimi ni mtoto wa miaka 25 na ni mtoto halali kabisa wa baba yangu lakini anachonifanyia sio halali kabisa kana kwamba mimi sio mtoto wake Siku ya ijumaa baba aliniita na kunieleza ya kwamba kuanzia tarehe 20 novemba nianze kulipa kodi ya chumba hapo nyumbani kwetu na akanikabidhi...
  11. amita bacha

    Can you love one woman??

    Ukimuona mwanaume anampenda mwanamke mmoja juwa aidha hana pesa au hana nguvu za kiume
  12. amita bacha

    Je waandishi Tanzania wanafanyiwa vipi ?

    Toa jibu kwenye nafasi iliyoachwa wazi ?
Back
Top Bottom