Hizi Apps za online loan zimekuwa kero zinakopesha pesa ndogo Kwa riba kubwa ukichelewa kuwalipa unaongezewa penalty kubwa sana.
Yaani imekuwa changamoto maoni yangu kwa serikali wazicontrol vizuri zinaumiza sana ikiwezekana zifutwe tu.
TANESCO wanatengeneza mazingira ya rushwa ili wakuhudumie, imagine watu walishalipia pesa kitambo ili waunganishiwe umeme lakini wanazungushwa kila siku na hakuna kazi ya maana sana wanayoifanya inayokwamisha wasiwaunganishie umeme watu hao
_________________________________
Pesa ya kuokota : Ni pesa ambayo haukulazimika kuifanyia kazi! Hapa kuna maeneo mazuri ya kutembelea ili upate hiyo bahati.
1. Tembelea Sehemu za Uoshaji magari: Watu wanaposafisha magari yao, sarafu zinaweza kuanguka. Wakati mwingine watu huzifagia pesa zao...
PROFESA
.
Kuna Nyakati Mechi ikiendelea Unabaini kabisa uwanjani Wachezaji wamebanwa na wamekosa mbinu Mpya wao binafsi ya Kujiokoa ili wapate ushindi
Lakini Ghafla utaona Nabi anafanya Maamuzi ya Plan B na Kubadili wachezaji kadhaa au hata kuwabadili nafasi tu kidogo wale wale walioko uwanjani...
Vijana wengi huku mtaani wamekuwa ni watu wa kulaumu wazazi wao au serikali kwamba hawapewi support ya kimaendeleo.
Hali inayopelekea maisha yao yamekuwa magumu sana, majungu kwa vijana yamekuwa mengi kitu ambacho kinafanya vijana wengi wawe na misongo ya mawazo.
Badala yake vijana waache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.