Recent content by aminimganga

  1. A

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    We huwezi pata kazi kwa dharau zako hizo,ngoja sisi tuendelee kula pesa ulifikiri ukitoka chuo na kazi mkononi,unadharau walimu Sasa ngoja ukome utawaheshimu tu.
  2. A

    UDOM wanakimbiza kwenye soko la ajira

    Mbona hawana ajira sisi tuko tunapiga hela au huoni wanafunzi wa Udom mtaani wanaungua jua.
  3. A

    Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

    Wapo watu wamefanikiwa wengi tu kwa kufuata utaratibu wa serikali uliopangwa hivyo Kama kijana unazo sifa za ajira zilizotangazwa omba na kila kitu kitafuata utaratibu uliopangwa na si vinginevyo,kinachoendelea kwa sasa ni Maneno ambayo hayana ukweli wowote.
  4. A

    Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

    Kimsingi kama unaushahudi juu ya hilo peleka Takukuru ila ninavyofahamu wewe Kama kijana unazosifa za kuaaply wewe omba usisikilize maneno ya Mtandaoni nchi yetu kwa sasa iko makini sana juu ya mambo hayo si rahisi kutokea Kama inavyoelezwa na Mtoa mada.
  5. A

    Natafuta kazi nina Barchelor of Business administration in Accounting with Education

    Mimi ni mhitimu wa Degree ya Barchelor of Business administration in Accounting with Education natafuta kazi yoyote ile inayoendana na elimu yangu namba za simu 0714488026
  6. A

    Ajira mpya za ualimu ni chache mno

    Vipi kuhusu waliosoma masomo ya uchumi inaweza ikaa nafuu kwao kwenye hizi ajira.
  7. A

    Nafasi za Kazi TRA

    Ok thanks kwa ufafanuzi but nilikua nauliza tena je ni cheti husika unachoombea tu maana kwenye ajira portal si unaweka vyote mfano barchelor, diploma ,certificate and form 4 kwa hivyo vyote lazima viwe certified au samahi kwa usumbufu naomba majibu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    Nafasi za Kazi TRA

    General condition namba nne for certified copies of certicate that means any one who know can provide elaboration to me for that indicated statement. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    Nafasi za Kazi TRA

    Wanasema cheti kiwe certified anamaanisha nini. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    Naomba ufafanuzi kuhusu jambo hili la Tanzania Employment Services Agency (TAESA)

    Nani anafahamu kazi ya hii taasisi ya serikali Taesa kuhusu swala la ajira. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

    Hao wasabato ni wabinafsi sana sijajua wanamwamini mungu yupi yani huwezi ajiriwa kwenye shule zao kama si msabato. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    Natafuta kazi

    Mimi ni kijana ambae naishi arusha elimu yangu ni Diploma ya accountancy nahitaji kazi inayohusika na kada tajwa hapo juu ambayo inapatikana arusha kwa sasa ni Barchrlor progress 3rd year namba yangu ya simu ni 0714445217. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Swali kuhusu vyeti

    Jamani nauliza kuna jamaa yangu akusoma diploma akafanikiwa kujiunga Barchelor sasa yuko mwaka wa tatu ila chuo chake kilitoka kwenye orodha ya kusitishiwa udahili je anaweza kuathirika kwenye barchelor yake maana wale ambao walikuwa hawajaomba wakivyojaribu kuomba wanaambiwa matokeo yake...
Back
Top Bottom