Recent content by amicky008

  1. amicky008

    Serikali itoe maelezo, kwanini Magari ya Serikali yamepata ajali kwenye shughuli zisizo za Kiserikali?

    Gari la umma la Serikali ya wananchi wa Tanzania limepata ajali na kuharibika vibaya kwenye msafara wa kiongozi wa Propaganda wa Chama Cha Mapinduzi, Paul Makonda. CCM mtuelezd gari letu lilifuata nini kwenye msafara wenu na nani atagharamia matengenezo yake.
  2. amicky008

    Gwajima: Mkianza Kutumia Roboti hapa Tanzania Watu Wetu Watafanya Kazi Gani? Ulaya Wanatumia Kwa sababu Watu ni Wachache

    Je serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?
  3. amicky008

    Je, Serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?

    Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
  4. amicky008

    Swali fyatu: je, Makonda anafunua udhaifu wa IDARA na mamlaka ya Uteuzi?

    CCM WOTE MBUMBUMBU NI SAWA NA KINYESI NA WAO SHABIKIA CCM NAO NI NZI SASA NZI ANAE FATA KINYESI ANA AKILI KWELI
  5. amicky008

    Swali fyatu: je, Makonda anafunua udhaifu wa IDARA na mamlaka ya Uteuzi?

    CCM WOTE MBUMBUMBU NI SAWA NA KINYESI NA WAO SHABIKIA CCM NAO NI NZI SASA NZI ANAE FATA KINYESI ANA AKILI KWELI
  6. amicky008

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ashitushwa na utitiri wa watu katika ziara za Paul Makonda wakilalamikia kudhulumiwa haki zao na kutekwa kwa ndugu zao

    CCM WOTE MBUMBUMBU NI SAWA NA KINYESI NA WAO SHABIKIA CCM NAO NI NZI SASA NZI ANAE FATA KINYESI ANA AKILI KWELI huyo miaka yote tangu wapate uhuru ndio wametufikisha hapa
  7. amicky008

    Makonda amwambia mkurugenzi wilaya ya kakonko mkoa wa kigoma sisafiri na wadaiwa.

    CCM WOTE MBUMBUMBU NI SAWA NA KINYESI NA WAO SHABIKIA CCM NAO NI NZI SASA NZI ANAE FATA KINYESI ANA AKILI KWELI
  8. amicky008

    Bashe anatafutwa ajae kwenye mfumo, sijui kama atafika Pasaka

    CCM WOTE MBUMBUMBU NI SAWA NA KINYESI NA WAO SHABIKIA CCM NAO NI NZI SASA NZI ANAE FATA KINYESI ANA AKILI KWELI
  9. amicky008

    Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Hapo Zanzibar wataipata freshi hawana mashamba kule wanategemea Tanzania tukitengana ndio basi tena
  10. amicky008

    Vijana wanajiita chawa, unajua chawa ni kitu Gani?

    Vijana saivi wanajiita chawa hivi unajua chawa ni kitu Gani au anasifa ya kukaa kwenye nini tuache Ujinga Wakufata fata mkumbo tujitambue tusimama kutetea Taifa letu
  11. amicky008

    Mwendokasi wafunge mifumo ya gesi kwenye magari kupunguza garama za uwendeshaji

    Nilipojiuliza ikiwa Dangote anatumia mitungi ya gesi kwenye magari yake kupunguza gharama, na ni mtu mgeni nchini kwetu sisi wazawa tunashundwaje? Hatuna hela au wasomi wakufanya hivyo vitu hamna au ni ulimbukeni Wa akili au Kuna watu wanapika Hela kwenye mwendokasi. Maana gesi ipo kupunguza...
  12. amicky008

    Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mwendokasi analipwa zaidi ya milioni kumi kwa mwezi; hajawahi hata kutembelea abiria aone kero zao

    Nilipojiuliza ikiwa Dangote anatumia mitungi ya gesi kwenye magari yake kupunguza gharama, Na ni Mtu mgeni nchini kwetu sisi wazawa tunashundwaje Hatuna Hela au wasomi wakufanya hivyo vitu hamna au ni ulimbukeni Wa akili au Kuna watu wanapika Hela kwenye mwendokasi Maana gesi ipo kupunguza...
  13. amicky008

    Tunakatiwa umeme mchana tunawashiwa usiku tupepewe na feni

    Tanzania, nchi yenye uchumi Wa kati inakumbwa na changamoto ya ukatikaji wa umeme mchana wakati wa shughuli za kujenga taifa na biashara. Wakati huo wanatuwashia umeme usiku tupepewe na feni Bila kujua kuwa Kuna watu wanategemea umeme walipe waingize kipato na walipe Kodi Hii nch tutafika kweli
Back
Top Bottom